15 January 2016

KIDOA AMGEUKIA SAMATTA BAADA YA DIAMOND KUPIGA KIMYA,WANASWA LIVE WAKIINGIA ,

IMG-20160112-WA0001

Video Queen Asha Salum ‘Kidoa’ akipozi na Samatta. 


Waandishi wetu, Ijumaa
  Baada ya hivi karibuni Video Queen Asha Salum ‘Kidoa’ kuibuka na kueleza kuwa, yuko tayari kufanya lolote ili awe na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ kimapenzi, mdada huyo amenaswa tena juzikati akiwa na mwanasoka Mbwana Samatta hotelini. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname