31 January 2016

Kanye West aomba radhi kwa kumuongelea mtoto wa Wiz Khalifa na Amber Rose.

kanye-west
Kanye West ameomba radhi kishkaji kwa Amber Rose naWiz Khalifa baada ya kumuongelea mtoto wao vibaya kwenye twitter yake hivi karibuni.
Kanye hakuandika moja kwa moja naomba msamaha ila aliandika “God’s dream …. Never speak on kids again.
Mr. West alivuka mipaka alivyoasema kwa Wiz Khalifa kuwa yeye anammiliki mtoto wake kwa maneno haya “I own your child!!!” Maneno ambayo yalimaanisha mtoto wa Wiz na Amber anayeitwa Sebastian.
0130-sub-kanye-west-twitter-4

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname