22 January 2016

HAYA NDO MASHAIRI YA WIMBO MPYA WA DARASA FT.RICH MAVOKO

Ha kuna single wala movie, mama you’re
my star
Mi shabiki yako nasimama hata ukikaa
Nahangaisha paa, breki ziko Dar
Jitazame kwenye kioo how beautiful you
are
Mapenzi ukichaa, mapenzi uchizi
Uwe nacho ukikataa, mwingine
inamnyima
usingizi
Mwingine atakesha, mwingine atatesa
Mwingine atataka akutumie kama pesa
Yanajuana madini yakikutana
Mwanamke ntanyima tuzo na ndo kitu
nachofanya
We utasema mi kichaa
Kumbe mwenzako nafata what I feel
inside
Aah! Kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba you
want eh
(eeh whatchu want)
Nipe uchizi nidate
Hata nikilale kwenye usingizi nifate
(The way you talk mama)
You know I

1 comment:

Comments system

Disqus Shortname