29 January 2016

HATIMAYE SAMATTA ATAMBULISHWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NCHINI UBERIGIJI TAZAMA PICHA

IMG-20160129-WA0006
Aly Mbwana Samatta hatimaye hatua kunako katika klabu  ya  Genk.
Katika dakika ya mwisho KRC Genk hatimaye imemnasa  mshambuliaji iliyotumia muda na maarifa kuinasa saini yake kutoka katika klabu yake ya TP Mazembe. Samatta aliwasili jana  Brussels na alisafiri moja kwa moja kuelekea Genk .
Aly Mbwana Samatta (° aliyezaliwa Dar es Salam 23 Desemba 1992 , 1.80 m na 75 kg) ni mchezaji anayeweza kutumia miguu yake yote kwa ufasaha na  mshambuliaji ambaye pia anaweza kucheza kama winga wa kulia. Ametoka Kongo katika klabu ya TP Mazembe.
Akiwa pamoja na klabu hii alishinda taji la klabu bingwa Afrika 2015, alikuwa mshindi mara nne mfululizo wa  ubingwa wa Kongo na mshindi wa Supercup mara mbili. Samatta amefanikiwa  kuchaguliwa mara ishirini kwa timu ya taifa ya nchi yake nyumbani Tanzania . Katika michezo hiyo, alifunga mabao saba.
Katika msimu  wa 2015 alichaguliwa kuwa mchezaji bora kwa wale wanaocheza ligi za ndani za bara la Afrika . Amekubali  kusaini mkataba hadi mwisho wa msimu 2019-2020.
HUU NDIO MTANDAO HALISI WALIVYOPOST GENK
samata
sa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname