15 January 2016

GARI LA MASANJA YAWA GUMZO,AFUNGUKA MAZITO,AWAITA TRA

Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwa pesa yake halali huku akishangaa kwanini watu wameshtuka baada ya kuona anamiliki BMW yenye plate namba ya jina lake. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname