15 January 2016

BREAKING NEWZZ;KWA MARA YA KWANZA LOWASSA AMPA BIG UP MAGUFULI


Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Hosptitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa.
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname