25 January 2016

BREAKING NEWZZ:AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA HUKO DODOMA BAADA YA BASI KUGONGANA NA NOAH USO KWA USO

 Ajali hii iliyotokea maeneo ya Chamwino, Dodoma ikilihusisha basi la Adventure na gari binafsi aina ya Noah inadaiwa kuchukua uhai wa watu watatu.
Tuwaombee marehemu wapumzishwe mahala pema

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname