19 January 2016

BREAKING NEWS : RAIS MAGUFULI KIBOKO,KIGOGO DAR AKAMATWA KWA UNGA

 Mfanyabiashara maarufu jijini Dar ‘kigogo’, Daudi Yakubu Kanyau (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya, Makao Makuu Ufundi, Kilwa Road, Dar akihusishwa kwa namna moja au nyingine na biashara ya madawa hayo maarufu kwa jina la ‘unga’. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname