14 January 2016

BREAKING NEWS :MILIPUKO YA MABOMU YAUWA WATU ZAIDI YA 7A INDONESIA



Jakarta-bombs (1)Jengo la mgahawa wa Starbucks Coffee lililopo Mji Mkuu wa Indonesia, Jakarta ambapo mabomu hayo yamelipuliwa mapema leo.
Milipuko ya mabomu takribani sita imetokea katika Mji Mkuu wa Indonesia, Jakarta na baadaye ufyatulianaji mkali wa risasi na watu zaidi ya saba wameripotiwa kuuawa japo polisi wanasema huenda kuna idadi kubwa zaidi ya waliouawa.  

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname