26 January 2016

BREAKIN NEWZZ!!:- MBUNGE WA IFAKARA AIONJA JOTO YA JIWE LA ASKARI WA MAGUFULI ONA HAPA

Mhe.Peter Lijualikali Mbunge wa Kilombero (Ifakara) akitolewa nje ya ukumbi wa halmashauri ya Kilombero na jumla ya askari saba (07) ili asishiriki kikao cha kuchagua Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo.

Source:- Facebook

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname