20 January 2016

BREAKIN NEWZZ!!:- HATIMAYE ISLAMIC STATE WATHIBITISHA KIFO CHA JIHADI JOHN


ISLAMIC STATE Wathibitisha Kifo cha "CHINJA CHIJA JOHN".
 
Kundi la Islamic State limethibitisha kwamba mwanamgambo aliyetafutwa sana na mataifa ya Magharibi, aliyejulikana kama Jihadi John, alifariki. Kundi hilo limetangaza kifo chake kwenye jarida lake la mtandaoni kwa jina Dabiq.

SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname