HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu yetu hii, tunaokutana kila wiki katika kuburudishana, kuelimishana na mara nyingine hata kufundishana. Najua wapo baadhi ya wasomaji hawakosi kabisa sehemu hii kwa sababu yanayozungumziwa, ama yamewakuta, au wanashiriki hadi sasa, au yaliwahi kuwapata watu wao wa karibu.
Katika jamii tunayoishi kuna mambo mengi yanayoendelea ambayo huonyesha jinsi gani wawili walivyohusiana kimapenzi, lakini hujitokeza baada ya mapenzi yao kuharibika.
No comments:
Post a Comment