Kuna kijana hapa anaangalia si te ya Jirani na anachunga ngombe za huyo Jirani
Huyu kijana ameshawapa mimba ma hg wetu watatu
Wawili aliwakana na hatukua na ushahidi Wa kumkamata moja kwa moja,
hivyo tukalazimika kuwatimua hao mabinti kurudi makwao kwa nyakati
tofauti
Muda ulivyopita tukasahau yakapita hayo, mwaka umepita sasa, tukaleta hg
mmoja hivi ambae tulimtoa Mwanza, mm nilishasahau masuala ya huyo
kijana Muda hadi juzi niliporudi home ghafla baada ya kushikwa na
vidonda vya koo vilivyoniletea homa Kali
Nilipofika home nilipiga honi sana bila majibu, nikashuka nikafungua
Geti dogo kwa ufunguo wangu na nilipoingia nikajifungulia Geti kubwa,
cha ajabu binti Wa kazi hakutoka, nikadhan ameenda dukan, nilipoingia
ndani nikasikia sauti Kali ya mahaba ikitokea chumbani kwa hg,
nikasukuma mlango ahamadi dogo kamgeuza hg doggie, pamoja na kwamba
nilikua naumwa nilimpa kipigo kikali yule kijana, akaniponyoka na
kukimbia uchi akaenda akaruka ukuta hadi kwao, nikamwamuru hg kuvaa, kwa
jinsi nilivyomwona uchi kaumbika mno Basi tu
Usiku tulishauriana sana na wife, akashauri twende police tukapewe
ushauri Wa kisheria kuhusu huyu kijana maana ametusumbua kwa Muda mrefu
sana
Ijumaa ya Jana tukaenda kumuona mkuu Wa kituo, akatuambia huyo dawa ni
kumpa kesi ya ujambazi au madawa ya kulevya ili akakae segerea Muda
mrefu hivyo nimpe laki mbili kwa kazi hiyo na hukumu ikitoka nimuongezee
zingine
Hivi navyowaeleza amelala ndani tangu jana, Jumatatu karandinga litakuja
kumchukua kumpeleka mahakamani kwa kesi ya ujambazi Wa silaha, kuna
silaha moja ipo pale kituoni watampeleka nayo ilikosaga mtuhumiwa
Kwa kweli huyu kijana ametusumbua kwa Muda mrefu sana, mwenzie wanae kaa
pamoja hapo kwao katuambia mwenzie hupewa juice, hukaangiwa mayai na
kupelekewa, vyakula mbalimbali na hata wine zetu humpa
Na ndio maana tunashangaa matumizi ya ndani yamekua makubwa sana, sasa hiyo si dharau wakuu
Huyu binti tunajiandaa kumsafirisha wakati wowote, huu ni ukosefu Wa adabu kuleta jitu ndani?
Mabosi Wa huyu kijana wamekua wakinipigia simu tangu Jana wakiniomba
nimuachie safari wanamfukuza, kila tukishtaki huwa wanasema hivi hivi
watamfukuza
Safari hii lazima nihakikishe ananyea debe next time anaweza kulamba.
No comments:
Post a Comment