21 February 2014

AJALI MBAYA MKURANGA JANA JIONI, KIPANYA USO KWA USO NA LORI

WATU wanne wapo katika hali mbaya na wengine saba wamejeruhiwa baada ya lori scania namba T653 BFD  (scania 380) kugongana uso kwa uso na baso dogo la abiria Toyota Hiace T613 CPG iliyokuwa inatoka mbagala kwenda mkuranga.
Kwa mujibu wa shuhuda ya ajali hiyo iliyotokea Mwandege, Dominic Kubhota, ameiambia blogu hii usiku huu kwamba chanzo cha ajali hiyo ni ovateki isiyotumia akili ya lori hilo .ANGALIA PICHA ZAIDI
Majeruhi hao wamefikishwa katika hospitali ya Mkuranga, lakini muda mfupi baadaye walianza kukimbizwa kuleta dare s salaam kw amatibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname