03 December 2013

JE MODEL NI KUPIGA PICHA UCHI?

http://www.tanzaniamodels.com/images/jeniffer/large/7.jpg
Model ni nini? Maana nahisi kama hib=vi ninavyoona ni tofauti na ilivyo maana ya Model au labda sijatafuta undani wa neno hilo.

http://www.tanzaniamodels.com/images/vera/large/31.jpg

http://www.tanzaniamodels.com/images/florence/large/27.jpg
Baadhi ya maana ya Model toka kwa wataalamu duniani ni;
fashion model - a woman who wears clothes to display fashions; "she was too fat to be a mannequin"
A model is a person who poses or displays for purposes of art, fashion, or other products and advertising
A model, occasionally called a mannequin, is the one who is engaged for the purpose of displaying and promoting fashion clothing or other products and for publicity or promotional purposes or who poses for works of art

Wasichana wengi siku hizi wanaona fashion kupiga picha za uchi (naked) na kudai kuwa hao ni model, sasa hapo utajiuliza model wa mwili au model wa mavazi? sidhani kama model ni kupiga piga uchi hiyo ni aina nyengine kabisa na sio Model, Kuna baadhi ya Mtandao hapa nchini nimeona na kushangaa mambo haya katika nchi yetu kumbe yanatendeka tena wazi wazi bila vificho, na kuoneshwa kwenye mtandao hivyo kila mtu huona miili yao.
Sijui kwa upande wa serikali hili wanalionaje na kulichukulia hatua gani, pia hata kwa wazazi nao wanapoona vitendo hivyo huwa inawaumiza kuwaona watoto zao katika hali hiyo, wapo ambao wanafanya sababu ya hali ngumu ya ki maisha na wengine hufanya kama moja ya fani zao.

Nipe maoni yako wewe kama mdau unaonaje?

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname