25 December 2013

BREAKING NEWS : MAITI YAKAMATWA NA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA MOROGORO.

HIZI ndizo kete zinazodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya yaliyopatikana katika gari baada ya kupekuliwa kituo kikuu cha polisi.
Maiti ikiwa ndani ya gari yenye namba ya usajili T 887 BSW eneo la chumba cha kuhifadhia maiti cha hospotali kuu ya mkoa wa Morogoro, baada ya gari hilo kukamatwa majira ya saa 7 usiku eneo la Mikumi,likiwa na watu watatu na maiti ya binadamu inayodaiwa kupoteza maisha baada ya kumeza kete hizo za zinazodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya na kufariki dunia, 
BOFYA KUANGALIA PICHA ZAIDIikisafirishwa kutoka Tunduma mkoani Mbeya kwenda Jijijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname