02 November 2013

LULU AMWAGA MAPESA KATIKA HOSPITALI YA OCEAN ROAD...CHEKI PICHA


Actress Elizabeth Michael(Lulu) ametoa msaada wa pesa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es salaam ili ziwasaidie wagonjwa wa kansa. Haijajulikana star huyo wa filamu ametoa kiasi gani na aliambatana na mama yake mzazi katika hospitali hiyo. Kupitia Instagram Lulu ameandika "naamini mimi sio mwema sana mpaka Mungu akaniwezesha kuona mwezi huu nikiwa mzima na mwenye afya. Kwa kutambua hilo nimeanza mwezi huu kwa kupita katika hospitali ya Ocean Road na kutoa mchango ili kuwasaidia wagonjwa wa
cancer na tuwe na utaratibu wa kuwakumbuka wahitaji kwa chochote tulichonacho"

Mungu awe upande wako na akuzidishie zaidi Lulu

Lulu akiwa na mama yake mzazi akitoa msaada wa pesa katika hopspitali ya Ocean Road...

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname